Majambaz wanne wamempora mzungu milion 70 kinondon DSM karibu na StanBic wakakimbia na kukamatiwa Mtaa wa Redcross wana Bunduki Mbili' kuna msamalia mwema alijitolea kuwa fuata nyuma nyuma mpaka hapo Redcross kwenye Mataa Msamalia Akawa block Na kuna Askari wa Pikipiki Walio kwepo Eneo hilo la tukio Jamaa walipo blockiwa wakashuka Gari na mitutu Askari wa Pikipiki wakawa weka chini ya Ulinz na kuwa tia pingu.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni