Majambaz wanne wamempora mzungu milion 70 kinondon DSM karibu na StanBic wakakimbia na kukamatiwa Mtaa wa Redcross wana Bunduki Mbili' kuna msamalia mwema alijitolea kuwa fuata nyuma nyuma mpaka hapo Redcross kwenye Mataa Msamalia Akawa block Na kuna Askari wa Pikipiki Walio kwepo Eneo hilo la tukio Jamaa walipo blockiwa wakashuka Gari na mitutu Askari wa Pikipiki wakawa weka chini ya Ulinz na kuwa tia pingu.
Kimchupakelvin.blogspot.com
Jumanne, 21 Aprili 2015
Ben Pol Sophia (official video)
hiki ndicho kichupa cha Ben pol sophia
Ijumaa, 6 Februari 2015
ASILI YETU TANZANIA: NIKKI WA PILI Ft. JOH MAKINI, G NAKO, NAHREEL, AIK...
ASILI YETU TANZANIA: NIKKI WA PILI Ft. JOH MAKINI, G NAKO, NAHREEL, AIK...: Nick Mweusi a.k.a Nikki wa Pili tayari amekuletea wimbo wake mpya unaoitwa
Jumatano, 21 Januari 2015
MKUU WA MKOA MOROGORO ATEMBELEA MTO KILOMBERO
DJ DUKE .COM: MKUU WA MKOA MOROGORO ATEMBELEA MTO KILOMBERO: Hali bado yaendelea kuwa tete kivukoni Kufuatia hali mbaya inayoendelea kujitokeza katika mto Kilombero Imemlazimu mkuu wa mkoa wa Mo...
Audio ya Sinema ya Maisha ya Yesu...
NYIMBO ZA DINI: Audio ya Sinema ya Maisha ya Yesu...: Kama unaihitaji audio hii niandikie na nitakutumia mara moja. Huwa napenda kuisikiliza ninapokuwa katika gari au ofisini. Sikiliza Audi...
MWANAMKE MWENYE DUNIAN AWEKWA KWENYE KITABU CHA KUMBUKUMBU HUKO ‘MAHIPS’ MAKUBWA AINGIA KATIKA KIT...
Boss Ngasa Official Website : MWANAMKE MWENYE ‘MAHIPS’ MAKUBWA AINGIA KATIKA KIT...: Mikel Ruffinelli ndiye mwanamke anayejulikana rasmi kuwa na ‘mahips’ makubwa zaidi duniani. MIKEL RUFFINELLI ndiye mwanamke mweny...
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)


